IKiwa ni wiki ya kumbukizi ya siku ya wapendanao, hivyo naomba kwa ufupi zawadi ya kumpa mrembo wangu ( penzi jipya). Karibuni maoni na mapendekezo yako ni muhimu
nb: penzi jipya mambo yasiwe mengi😊
Penzi tamu linaloridhisha na zawadi ya kuvalika....gauni au kiatu au saa kama uwezo wako mzuri Gari(akikuacha Gari arudishe)....maana mapenz nayo yana expire date