Daa hii siku kwani inaadhimishwaje mama B kanijia juu eti kwa nini sijampost instagram au fb kuwa yeye ndo my valentine day akaenda mbali na kusema eti mimi nina wengi na ndiyo maana sikufanya hivyo mbona yeye kanipost? Nilichomjibu ni kuwa mimi nampenda hayo mengine ni mbwe mbwe tu ila mpaka sasa kafula hapa kitandani.Kweli mdo ngumu?