Valediana mg'ong'o mwenyekiti wa bunge lililopita yuko wapi wakuu?

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,701
71,051
Huyu mama alikuwa Mwenyekiti wa bunge lililopita, nakumbuka alikuwa na misimamo ya aina yake, aliwahi kumtaka Tundu Lissu kufuta kauli yake, ila Lissu alikataa kwa sababu sheria alizokuwa anazitumia bungeni siyo za bunge. Mkitupia na CV kidogo siyo mbaya
 
Wakuu njooni huku mtoe CV ya huyu mama
Huyu mama tuko naye hapa Iringa anandesha shirika "lake" linaitwa "Tanzania Home economics Association (TAHEA)" na ni mmoja wa watu waliokuwa na alama zao pale USAID wakati ule wa enzi za unyanyapaa, kwani ni yeye alikuwa kilongola wa kuweka mipango ya kuwasaidia waathirika wa UKIMWI waliokuwa wanatengwa na jamii zao. Ilikuwa enzi hizo ni kama lazima upate "Approval" ya Mama Mung'ong'o ndiyo USAID "wakuelewe" kwamba unasaidia yatima au waathirika wa UKIMWI. Muulize Lukuvi walijuanaje na Lediana Mung'ong'o!?
 
Lukuvi si ana akaunti humu jf, ngoja aje atuambie
 
Back
Top Bottom