Valambhia lawsuit

Captain22

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
630
Reaction score
285
Wakuu salamu kwenu na poleni kwa majukumu mazito ya ujenzi wa taifa. Katika somasoma yangu nimekutana na hii kesi ambayo was referred to as the longest civil case in Tanzania.
Naomba yeyote mwenye taarifa, historia na hata hukumu ya kesi hiyo anijuze vizuri. Asanteni sana
 
Angalau ungeianzisha badala ya kuleta heading tu, naamini kama ungekuwa na bidii kidogo tu ungebaini ilikuwa inahusu nini na ilichukua muda gani kumalizika angalau kwa uchache
 
Hawa jamaa walishashinda kwenye kesi za awali mahakama kuu na mahakama ya rufaa. Serikali ilitakiwa kulipa na BOT iliambiwa waanzishe escrow account fedha ziende huko na hawa jamaa walipwe. tulikaidi kipindi cha mkapa, kikwete akaja akawatupa mkono. Mwaka 2003 mahakama kuu iliagiza gavana wa fedha akamatwe kwa kushindwa kuwalipa hawa jamaa. kesi ilianza mwaka 1991 na ikaisha 2003.
 
Hapa imeshakula kwetu Tena . The law suit is back with a vengeance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…