wakuu,
kesho nachukua likizo kidogo ya wiki kadhaa hivyo nitakua mbali kidogo kwenye mapumziko maalumu na wifi/ shemeji yenu!.
so nawatakia kila la kheri, muendeleze gurudumu ndani ya JF.
luv y'all.
tahnx.
kumbe shostito anaitwa Amanda?????????kla la kheri mje na matarajio mapya huko kwenye vacation ikiwezekana hata featuring ya singo ya george na Amanda.