Sina hamu na hao ppf inshort subirin kuitwa watu si chin ya 5000 ila mtafanya interview ya awamu...ilikuwa ni mwaka juzi waliita interview bas mm ya kwangu ilikuwa saa 2 asubuh pale chuo cha elimu ya watu wazima...walikuja watu kama 1000 nikajua ndo sisi bas ile tunatoka saa 4 kumbe kuna wengine walikuja na pia saa 6 kulikuwa na wengine...
Sasa hayo maswali yenyewe
tulibak tunaangaliana maswal meng ni tofaut na kaz unayoomba nahs lengo ni kupunguza idadi but nahs kuna walengwa washaandaliwa tho am not sure...mtakaoitwa mtegemee hayo..goodluck