mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,724
- 2,704
Hapo tunaattach barua na vyeti tu, maelezo uliyoyajaza ndiyo cv yenyewe.
Badilisha browser unayotumia.
Jamani mbona ni rahisi kama kumeza mate,Kama mmeshindwa sio mbaya,tusije tukaitwa watu 3000 nafasi zenyewe 2,subirini next timeMimi nimetumia Uc Browser imegoma kuattach hyo stage ya mwisho Jana nikaenda internet cafe kwenye computer nako imegoma vilevile inaleta jibu lilelile
Ukiona hivyo docs zako siyo pdf.Castr...kila nikijaribu ku-upload application letter and certificates, inagoma inaleta maneno haya: Job Detail:: Upload Error: Only PDF file is allowed for uploading.
Natumia Google Chrome na pia Internet Explorer zote zinagoma ku-upload. File ni 3MB only
Na kama utakuwa na smart download app inaitwa pdf converter then chukua docs zako ziamishie kwenye simu ziconvert to pdf kisha zirudishe kwenye computer tuma.Ukiona hivyo docs zako siyo pdf.
Naassume portal yao iko sawa hivyo docs zako siyo pdf.
Zifungue kwenye word kisha bonyeza file, halafu save and send itakupa option ya kuzifanya docs zako kua xls au pdf, chagua pdf kisha publish.
Wanaposema deadline before 15 May, sio kwamba wanamaana mwisho ni tarehe 14? Au ni 15 yenyewe.. Some one aniweke sawa hapaMwisho kutuma saa ngapi?
gmail.com sio friendly user email tumia email nyingineJana mi nilifanikiwa kutuma ikakubali Lakn wakati huo huo kuna best yang akawa naye ametamani atume basi akajsajili kwa gmail lakin hakutumiwa link akabadilisha tena email Lakn wapi .labda wavamizi wameshazidukua hzi system zetu maana tangu juzi kuna watu wanasema kuna malware wametumwa kuharibu system.
Upo sahihi kabisaKwani mkuu kuna sehemu wamesema uattach cv!? Sio kama CV unaandaa kwenye portal yao palepale!?
Kwanin unaattach CV? kuna sehemu yeyote wamesema uattach cv?someni maelekezo vizur brothers and sisters.Hiyo portal yao inazingua ukifika stage ya mwisho ya kuattach CV inakataa inaandika kuwa Hyo CV PDF file ni kubwa imezidi 5Mb wakati CV yangu ni ndogo kwa ukubwa haifiki hata 1 Mb .Tangu juzi nahangaika nayo kuiattach ila inagoma na Leo ndio deadline duuuh
Soma last paragraph ya tangazo lao.Upo sahihi kabisa
Last paragraph yatangazo hilo hapo juu au kwenye gazeti linataja CV.Kwanin unaattach CV? kuna sehemu yeyote wamesema uattach cv?someni maelekezo vizur brothers and sisters.
Soma tangazo hapo juu. Kuna paragraph ya mwisho inataja CV.Kaka attachments zinazotakiwa ni application letter na certificates not cv
Barua ni muhimu inshort wanaweza kukuita au wasikuite na wasopokuita watasema hukutimiza matakwa yao..Du nime attach vyeti pekeake bila letter sijui wataniconsider