Vacancies Announcement at Ministry of Lands, Housing and Human Settlement Development and VETA May 2018

Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
11,773
9,967
President’s Office, Public Service Recruitment secretariat on behalf of Vocational Education and Training Authority (VETA) and Ministry of Lands, Housing and Human settlement Development invites qualified Tanzanians to fill 83 vacant posts as mentioned below;
 

Attachments

  • Nafasi za kazi Wizara ya Ardhi na VETA MAY 2018.pdf
    509.6 KB · Views: 75
Hii serikali jamani.

Mwaka jana miezi flani veta walitamgaza kazi kama hizo hizo na watu wakaitwa kufanya interview.

Cha ajabu hawajaita mtu hata mmoja kazini

Kuna mshkaji wa veta akaniambia kuwa veta hawana pesa ya kuajiri bado.

Hapo naona kazi zile zile zinatangazwa.

Naomba watu mfuatilie kwa makini.

Kuna kitu gani?

Isije ikawa zile ajira elfu 54 ndio zimeanza kwa style hio kutangaza tangaza.
Kumbukeni huu utawala kama walifoji data za tra wanashindwaje kujitangazia kazi zozote na kukuita kwenye interview hata morogoro kihonda ukapoteza muda wako kumbe wenzako ni siasa.

Ila tumeni maombi ya kazi msije mkaacha ku apply.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom