VAA CONDOM

kinjekitile70

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
1,070
Reaction score
1,434
Habari zenu wakuu

*AINA 15 ZA WANAWAKE AMBAO UKIKUTANA NAO UNAPASWA KUVAA CONDOM*

*1:Kama anatatoo......... Vaa condom*
*2:Kama anakunywa bia.....Vaa condom*
*3:Kama anazima simu ukiwa nae....... Vaa condom*
*4:Kama anafanya kazi baa au saloni.... Rafiki yangu vaa condom*
*5:Kama anamarafiki weng Instagram Kaka condom*
*6:Kama anakuwa wakwanza kukuvua shati na kuchomoa dushelele lako..... Usizubae vaa condom*
*7:Kama anapenda chama cha siasa kinachopendwa na anampango wa kugembea uongozi.................Vaa condom*

*8:Kama anawowowo la kichina...... Usisahau kuvaa condom*
*9:Kama anakipini puani, kitovuni au kikuku mguuni....... Vaa condom mbili*
*10:Kama anasoma UDSM, UDOM, SAUTI, USHIRIKA, Au MZUMBE...... Kumbuka condom*
*11:Kama anasemaga wanaume wote ni sawa.... Tafadhali vaa condom*

*12:Kama hakuambiii vaa condom....Vaa condom*
*13:Kama anavaa suruali ...... Bro condom*
*14:Kama ananyoa kiduku na kuweka breach.......... Condom*
*15:Kama anatokwa na povu kwasababu ya post hii....... Vaa condom Tatu . Kaka yangu thamini maisha yako.*

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
MWENYE MACHO AONE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII INA MSAADA GANI KWENYE VITA HII NZITO YA CORONA??!
 
Mada ya kipumbavu tu !! Demu wangu ananivua shati na anaichomoa mwenyewe na kuingiza.... N.B nilimfundisha mwenyewe michezo yote inayoitwa mapenzi.
 
Wale walioimbaga ule wimbo wa 'kosa la marehemu,hakuvaa kondom' wako wapi siku hizi?
 
Kuvaa condom ni matumizi mabaya ya material ya mpira,,
 
Akikuambia uvae condom, rafiki angu jaribu kuwa serious kwa kuvaa hy condom
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…