Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,001
- 134,194
Wadau kuna upotoshaji uliletwa na wana CCM tawi la ACT kwamba Mwl.Kashindye aliyekuwa mgombea Chadema Igunga amejiweka pembeni na Chadema.Habari hizi sio za kweli na hata uzushi haufahamiki kabisa Igunga.Kudhihirisha hilo Kashindye yupo na gari ndogo plale no.T445 ALT,akitangaza ratiba ya uchaguzi wa Chama hicho.Gari hilo limepambwa na bendera za Chadema lipo maeneo ya Sayari karibu na parking ya Mohamed Trans.Ninazo taarifa za Dr.Kafumu kumrubuni Kashindye ajitoe CHADEMA kwa ahadi ya kumpatia ajira mgodini.Namshauri Dr.Kafumu badala ya ku-deal na Kashindye,angepigania pesa za fidia ya Tanesco iliyoliwa na DC Elibariki Kingu
Mbona wanamzushia sana huyo jamaa?atakuwa ni tishio huko
Mbona wanamzushia sana huyo jamaa?atakuwa ni tishio huko
ninao uhakika kwamba KAFUMU anamuogopa KASHINDYE vibaya sana ! Ushauri wangu kwa kashindye asidanganywe , amebakisha muda mfupi sana kabla hajawa mbunge wa igunga.
kibaya zaidi Kash kajikita vijijini na kesho anafanya uchaguzi Mwanzugi.sasa Kafumu hawezi enda kule vijijini,kuna shida sana ya maji na barabara,na yeye aliahidi
Ukiona buku 7 a.k.a team Lumumba wanamzushia mtu uongo ujue huyo ni tishio kwao wakimsikia tu mapepo yanawapanda.Mbona wanamzushia sana huyo jamaa?atakuwa ni tishio huko
Wewe ndio wakiri wake. Watu wengine bwana! Si atadai yeye. Nayeye hawezi kudai maana ubunge aliokuwa anatafuta ulikuwa wakwake.Kashindye usipotoshwe ACT imesheheni behewa la ukanda wa kigoma,na u......Kazi kwako.
Mlipeni mwl kashindye pesa zake alizojigharamia kwenye kampeni
Mlipeni mwl kashindye pesa zake alizojigharamia kwenye kampeni