Uzoefu wa kununua bidhaa za kilimo kupitia Alibaba

kuroiler

Member
Jul 5, 2015
50
24
Habari, nataka kuagiza vifaa vya kilimo kutoka China. Naomba uzoefu kuhusu usalama wa kuagiza online kupitia alibaba.com
 
alibaba wako poa mi nishawahi agiza pitia wao ila nilikuwa na mtu china wakampelekea na yeye kunitumia ..ila nazani angalia kampuni ambayo atleast na zaidi ya miaka mitatu in alibaba
na pia wana trade assuarance yao unaweza tumia ila supplier wengi wanaogopa chargers hivyo basi wanataka uingie nao inbox na ufanye biashara bila kupitia alibaba ambayo sikushauri kama ni alibaba ni alibaba tu
 
Angalia kuna uzi humu unaelezea kila kitu
Ukikalia hapa utakesha,maana uzi ukiisha changiwa saana watu wanaona tabu kurejea
 
Unataka kuagiza vifaa gani?
Mimi niliagiza combine harvester imefika salama kabisa ipo shamba Kwa sasa.
 
Sorry Mkuu naongelea bidhaa nyingine kama electronics devices Mkuu.
Hizo lazima ulipie duty na VAT,, tafuta clearing agent ili upate info zaidi kuhusu ushuru, vat na cost nyingine uli uwe na taarifa kamili kabla ya kuagiza mzigo.
 
Hizo lazima ulipie duty na VAT,, tafuta clearing agent ili upate info zaidi kuhusu ushuru, vat na cost nyingine uli uwe na taarifa kamili kabla ya kuagiza mzigo.
Daah nikajua ujanja ujanja kwenye kodi utakuepo hapo. Shukran chief
 
Back
Top Bottom