Uzoefu unahitajika kwa wanawake

Uzoefu unahitajika kwa wanawake

Deliver

Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
61
Reaction score
17
Hivi ni kweli kama mwanamke ametembea na wanaume wengi ni rahisi kuchepuka kama akiolewa na mme wake asipomridhisha?uzoefu unahitajika.
 
ndio jibu hilo, si swali, uliza jingine.
 
Si kweli mleta mada,

ile ni tabia na kwa binadamu inawezekana kubadilika
 
Ni kweli kabisa na kama alizoea,hata akipata mwanaume anayemridhisha vipi atatoka tu nje...kumbk "Mazoea hujenga tabia"
 
Kumbbe kabla haujaoa lazima ufanye utafiti

ukimchunguza sana bata hutomla hata kama amenona na anataga mayai makubwa, take the present and live for the future, forget about the past. Kama una moyo utaweza fanya hivi ila kama moyo wako mdogo utaishia kucrash tuu kama mie hutaona hata. Tena ukiwafanyia utafiti waschana wa dar ndo kabisaaa utashindwa hata
 
Anaweza kuwa na idadi fulani ya wanume lakini yeye asiwe sababu ya hiyo idadi labda alikuwa anatendwa? anaachwa pasipo yeye kuridhia.Halafu watu wanabadilika kuna watu wanathamini ndoa nakuona ni kitu cha thamani
 
toa mfano tuujadili

kwa mfano ndoa ya mbasha na mkewe flora unazani ule uchepukaji ni tabia au ulikuepo kabla ya ndoa
 
Anaweza kuwa na idadi fulani ya wanume lakini yeye asiwe sababu ya hiyo idadi labda alikuwa anatendwa? anaachwa pasipo yeye kuridhia.Halafu watu wanabadilika kuna watu wanathamini ndoa nakuona ni kitu cha thamani
Inawezekana
 
Kila siku upande private car ya nini hata semi ina raha yake pia
 
Ni kweli kabisa na kama alizoea,hata akipata mwanaume anayemridhisha vipi atatoka tu nje...kumbk "Mazoea hujenga tabia"

..wataka kusema kila aliyeolewa na idadi kubwa ya maex ana hatari ya kuchepuka kwa sababu ana historia na kumbukumbu ya ladha, size tofauti??
 
Back
Top Bottom