Uzoefu kwenye kufanya interview

sekhal

Member
Jul 21, 2016
44
37
Habari zenu,
Hongereni kwa harakati mnazozifanya, me as a job seeker, nimeamua kuanzisha topic hii ili tuweze kupeana uzoefu wa yale maswali general yanayoulizwa kwenye interview.

Pia ni namna gani ulijibu maswali hayo, si mbaya ukishare nasi changamoto ipi au kituko kipi kilikutokea / ulishuhudia wakati wa interview.

Hata kama ni jambo dogo tafadhari share nasi maana sharing is caring, naamini nitajifunza mm pamoja na wengne wataofuatilia mada hii. Ahsante

 
Unge specify kidogo... unazungumzia interview zipi?
Mfano; za walimu ni tofauti na za watu wengine, za utumishi ni tofauti na private n.k
 
Namaanisha maswali ya ujumla ambayo kila kada inaweza ulizwa mfano "introduce yourself", "are you creative?" Etc etc kama sijakuelewa nifahamishe zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…