Uzito wa ubungo wa binadamu TZ

pocha2

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
880
500
Kulingana na Kitengo cha Takwimu (Tanzania Bureau of Statistics, kuna jumla ya watanzania 25,203,467 wenye umri wa zaidi ya miaka 15. Ukichukukilia wastani uzito wa wastani wa kilo 1.33 wa ubongo wa binadamu, utapata kilo 33,520,611.11 ambazo ni sawa na tani 33,520.6, hii ina maana kiutamaduni na kisiasa kilo 1.3 huongoza tani 33,520.6 kwa wakati fulani. MUNGU NI MKUBWA msibishe. Hii hesabu unaweza kuipata tuu kama Jamii Forum itabaki huru.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom