Uzinduzi William TV: Dunia macho na maskio yote Dar, ni tukio la kihistoria

William Malecela (Lemutuz) au makinikia kama anavyojulikana katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii kwa sasa ameitikisa tasnia ya television nchini baada ya kutangaza ujio wa TV yake . Masaa mawili baada ya kutangaza tu,wakurugenzi wa TV zote Kubwa nchini walifanya vikao saa
usiku kuona ni jinsi gani wanamdhibiti kabla hajawa tatizo huku wengine wakishauri aongezewe namba za supa mbebezz rangi ya mtume wamkeep bize
na kupoteza focus.
Lemutuz ambaye anajulikana kwa kuajiri vijana waliomaliza chuo kikuu pekee amedai mipango yake miezi ijayo ni kuanza kuuza ving'amuzi ambavyo hivi vitakuwa tofauti kidogo na vingine kwani king'amuzi hiki kitakuwa na Chanel moja tu ya Lemutuz TV. Mdau nini maoni yako katika mapinduzi haya?
hahahahaa eti a.k.a Makinika
 
Lemburulazzzzzzz et wakurugenz wa TV wamekutana kuona namna ya kumdhibit kama wabebez tu wamemshinda ije kua media business? Abaki kwenye instagram tu ndio level yake
 
Back
Top Bottom