Stephano Mwandiga
Member
- Dec 14, 2013
- 78
- 24
Jana chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kilifanya uzinduzi wake wa kampeni za udiwani katika kata hiyo iliyopi mbeya vijijini
Katika uzinduzi huo ulioongozwa na mratibu kanda ya nyanda za juu kusini baada ya mh Mbowe kuto fika kutokana na sababu zisizo zuilika
Taarifa zinadai kuwa katibu mkuu Dr Slaa sasa ndo atakae tembelea na Chopa katika kata hiyo siku za karibuni