Uzinduzi wa Ajira App

Kama kichwa kinvojieleza sekretarieti ya ajira katika utumishi wa Umma, naona wamekuja na application sijui kuna kitu gani kipya humo.​

View attachment 2018987
Ajira Portal App ni mfumo unaorahisha utoaji huduma na hasa taarifa za uwepo wa nafasi za kazi Serikalini, unaweza kuomba kazi, ku-update information za portal kupitia app hii. Ingia play store na type Ajira Portal, utaiona na ina nembo ya bibi na bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…