Uzinduzi Kampeni Ukawa jana: Mbowe kushney

Uzinduzi Kampeni Ukawa jana: Mbowe kushney

Mwamba Usemao Kweli

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
744
Reaction score
186
Kila aliyepanda jukwaani ni Lowassa na ukawa tu VP kuhusu mwenyekiti wa Mbowe ckusikia akitajwa kabisa na washereheshaji wala wachangiaji. Inamaana sikuhizi so kiongozi chadomo.
 
Muda si mrefu atajiunga na Slaa na chadema masalia wenzake. Kashauza uza chama ila hajitambui anadhani ataweza kumshape EL na watu wake aliokuja nao, anajidanganya sana. Jana bila aibu anafikiria jinsi ya kukusanya sadaka ya mabadiliko pale jangwani. Sikujua jamaa hovyooo! sana.
 
Muda si mrefu atajiunga na Slaa na chadema masalia wenzake. Kashauza chama ila hajitambui anadhani ataweza kumshape EL na watu wake aliokuja nao, anajidanganya sana. Jana bila aibu anafikiria jinsi ya kukusanya sadaka ya mabadiliko pale jangwani. Sikujua jamaa hovyooo! sana.
 
Hovyo MBOWE ? Au hovyo wewe? Unaekatika wakati kipara anapigwa asiyekua wewe?
Kama wa Ukawa wanamtaja LOWASSA zaidi kuliko Mbowe we mshono unakuwashia nini? Wewe si u'deal na Makomeo wenu?
 
Last edited by a moderator:
11949346_903031159773743_6530840239406339605_n.jpg

Awana chao tena huyo ndio Lowassa na marafiki zake wakiwa kazini magwanda wanavaa na high table wanapewa (duuh Dokta Slaa alishaona uhuni utakaofuata baadae mapema).

Pipooz pawa isubiri kwanza money power ipite.
 
Hovyo MBOWE ? Au hovyo wewe? Unaekatika wakati kipara anapigwa asiyekua wewe?
Kama wa Ukawa wanamtaja LOWASSA zaidi kuliko Mbowe we mshono unakuwashia nini? Wewe si u'deal na Makomeo wenu?

Hata haya hamna eti sadaka ya mabadiliko, kwani mko kanisani? zile fedha zote mlizokuwa mnakusanya kwenye fund rising mlizofanya huko nyuma mlishaeleza mlizitumia vipi? Matapeli wa kisiasa wakubwa nyie. Na nchi hii hamuipati ng'oo! Mtampata huyo huyo EL ambaye sina hakika kama yuko mental stable.
 
Last edited by a moderator:
Hamuwezi kushindwa kutukana maana ni moja ya sera za ccm ndio maana nape ameenda course ya kutukana.

Hivi mnahitaji nini ukawa ninyi mlisema utasambaratika kabla hata ya kampeni sasa yamewafika

mfupa umewakwama.mtajeni mgombea wanu
 
Kila aliyepanda jukwaani ni Lowassa na ukawa tu VP kuhusu mwenyekiti wa Mbowe ckusikia akitajwa kabisa na washereheshaji wala wachangiaji. Inamaana sikuhizi so kiongozi chadomo.

Katafute pilton angalau upate LEPE la usingizi, masaa yamebaki kidogo kabla hakujachwa.

Ninaona ufunguzi wa UKAWA DSM pamoja na kukunyima hamu ya kula umekupotezea usingizi kabisa.
 
Back
Top Bottom