Uzimaji cmu mi naona kama masihara

Kilosaone

JF-Expert Member
May 3, 2015
407
219
Kwani jamaa zangu wengi nimewaulizia wanasema cmu zao zipo poa na hata zangu ziko poa

Naomba tujuzane kama kuna mtu yake imezimwa.

Cku njema wadau!
 
ahaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Mkuu wangu usiwe na wasi wasi ukiona kilonga longa chako bado kina network ujue ni OG ahaaaaaaaaaaa.

Watu wengi walikuwa na Presha sana na vilonga longa vyao.

Ila nasikia vilio vingi vimeenda kwa wale wenye masim makubwa kama vitanda. Nyingi ni fafa, ahaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Hakuna simu feki Tz, ww km huwezi tengeneza utajuaje km ni feki? wamezoea kujaza hofu wananchi wao tu!!
 
Mi yangu tyr
 

Attachments

  • 1466158168888.jpg
    1466158168888.jpg
    33.7 KB · Views: 52
Back
Top Bottom