Kwa mara ya kwanza si ndio?
Ni stori ndefu sanaNini kilitokea mpaka jana uka-trend kichwani mwako mkuu?
Hakika mkuu,mimi nilitumiwa clip ya mchungaji akihamasisha 75% ya kipato ipatie raha familia sio kila hela unajengea tu. Juzi nikapata 1m haikuwa kwenye bajeti nikaamua niigawe yote 60% kwa familia na 40% itumwe kwa wazazi pande zote. Naambiwa hiyo hela si bora tununue kiwanjaPole sana Mkuu. Wanawake acha tuu. Kuna post humu inasema kuishi na mwanamke inahitaji moyo wa chuma.
πππππππHakika mkuu,mimi nilitumiwa clip ya mchungaji akihamasisha 75% ya kipato ipatie raha familia sio kila hela unajengea tu. Juzi nikapata 1m haikuwa kwenye bajeti nikaamua niigawe yote 60% kwa familia na 40% itumwe kwa wazazi pande zote. Naambiwa hiyo hela si bora tununue kiwanja