Uko wap huo uziUzi huu uli-trend kichwani mwangu jana
Tutaamini vipi kama ni akili yako au umeandikiwaHabari wakuu.
Nmefurahi sana kuona uzi wangu ukizunguka mitandao mbalimbali huku watu wakijaribu ku-share na kutoa maoni yao kwa nguvu zote. Hakuna jambo zuri na la heshima kama kuona kazi uliyoiandaa kwa mikono yako na akili yako ikipendwa na kujulikana na watu wengi.
Sababu kubwa zinazoufanya uzi wangu usambae tokea wiki mbili zilizopita mpaka tunaenda kufunga mwaka ni kutokana na uhalisia wa uzi wenyewe.
Uzi wenyewe ulikuwa unakichwa kisemacho.
MAAJABU YA WANAWAKE YALIOWASHINDA MPAKA WANAFALSAFA
Kwa waliouona huko mtandaoni kama Facebook, Instagram, na magrupu ya whatsapp mnaweza ungana na mimi.
Najisikia fahari sana kuona kazi yangu ikipokelewa vizuri sana ijapokuwa wanao-copy na kupaste hawani- acknoo lakini angalau wameikubali.
Kwa nature ya uzi, nature ya mitandao tajwa na nature ya wabongo wengi mitandaoni, lazima iwe hvyo, weka uzi mfn wa kufundisha jambo flan let say tecnolojia then uone,
BTW big up, maana sio nyuzi zote za namna hio zinafka huko.
Tutaamini vipi kama ni akili yako au umeandikiwa
Mimi sijauona..... hem weka hapa tuuone
Kuna jamaa wa udaku blog ni kinara sana wa kukopi mada za JF na kuzipeleka kwenye blog yake bila kuacknowledge asilimia 95 ya post zake anazitoa jfHabari wakuu.
Nmefurahi sana kuona uzi wangu ukizunguka mitandao mbalimbali huku watu wakijaribu ku-share na kutoa maoni yao kwa nguvu zote. Hakuna jambo zuri na la heshima kama kuona kazi uliyoiandaa kwa mikono yako na akili yako ikipendwa na kujulikana na watu wengi.
Sababu kubwa zinazoufanya uzi wangu usambae tokea wiki mbili zilizopita mpaka tunaenda kufunga mwaka ni kutokana na uhalisia wa uzi wenyewe.
Uzi wenyewe ulikuwa unakichwa kisemacho.
Maajabu ya wanawake. Kuwaelewa ni ishu iliyowashinda mpaka wanafalsafa - JamiiForums