Mkuu, mbona una ubaguzi wa simu namna hii kama sio wa maisha..
Nahisi ungekuwa mweupe ungekuwa na ubaguzi wa rangi hatari tushukuru mungu kakuumba mweusi pii
Simu ya kwanza kua na 3g (iPhone 3gs)
Simu ya kwanza kua na App Store (iPhone 3gs)
Simu ya kwanza kua na voice assistant (iphone 4s)
Simu ya kwanza kua na 3D maps (iPhone 5)
Simu ya kwanza kua na Fingerprint (iPhone 5s)
Simu ya kwanza kutoa flagship mbili kwa wakati mmoja (iPhone 6 & 6+)
Simu ya kwanza kua na 3D touch (iphone 6s & 6s+)
Simu ya kwanza kua na Camera mbili nyuma (iPhone 7plus)
Mbali na kuleta rangi tofauti tofauti kwenye matoleo ya simu tusisahau pia ndio simu pekee yenye ulinzi wa data zako zisidukuliwe kirahisi.
Android wana miujiza yao pia wakiongozwa na Samsung.
Habari wajanja wa mujini,
Kama una cm ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.Please kama una cm yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine cm za kariakoo pumzikeni kwanza