Uzi wa kutuma picha ya vitu vya zamani, vilivyotumika Tanzania kuanzia miaka 1970s

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
851
597
Wanajamvi leo nimeona picha ya kiberiti cha zaman kule kijijini tulikiita "ekibiriti kwe kyoma" yaani kiberiti cha chuma, nakumbuka muda uo umeshikwa tumbo la kuhara alafu umuamushe bi mkubwa afu awashe kiberiti ndo atawasha wapi...hapo hasiraa haaaa ni kula makofii tuu....

Tupia picha, taja jina lake mlivokuwa mnakiita na unakumbukaa nini....

Karibunii....
FB_IMG_15664791641205539.jpeg
 
Akina Sepenga wa miaka hiyo
Screenshot_20181209-155732.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20181209-155742.jpg
    Screenshot_20181209-155742.jpg
    60.4 KB · Views: 28
Wanajamvi leo nimeona picha ya kiberiti cha zaman kule kijijini tulikiita "ekibiriti kwe kyoma" yaani kiberiti cha chuma, nakumbuka muda uo umeshikwa tumbo la kuhara alafu umuamushe bi mkubwa afu awashe kiberiti ndo atawasha wapi...hapo hasiraa haaaa ni kula makofii tuu....

Tupia picha, taja jina lake mlivokuwa mnakiita na unakumbukaa nini....

Karibunii....View attachment 1187628
Hiki nkiberiti cha sigara mzee wangu alishanipiga fimbo nilikichokuwa nikaenda nacho shule pale buguruni watt wa kiswazi wakakiiiba.
 
ENZI ZA MESTIN NYAKATO SECO. BUKOBA, KARIBU NA IHUNGO LESS SERENGETI BUS SERVICES
images.jpg
 
Back
Top Bottom