Uzi maalumu wa kuwaomba msamaha tuliowahi kuwasaliti

kilamba lamba

JF-Expert Member
May 27, 2020
378
692
Habarini wana nnzengo w MMU .

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Tuchukue nafasi hii kuwaomba radhi wapendwa we2 ambao tumewahi kuwasaliti na bado tunawapenda ila ni shetani tu mkata kamba ndo alitudanganya(alitupitia)

Z wangu naomba unisamehe ni shetani ty rudi nyumbani mamaa .utaniua mm mtoto wa mwanamke mwenzio.

NB: najua kuna watu bado watakazaa kuomba msamaha
 
Back
Top Bottom