Uzi maalumu wa kuelezena Yale ambayo zamani ulikuwa huyaelewi ukaja kuyajua baadae au hadi Sasa huyaelewi.

Kizibo

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
3,871
8,381
Mimi binafsi Kuna vitu zamani nilikuwa sivijui, baada ya kuvijua nilicheka Sana.

Kuna ile slogan ya kwenye tangazo la tigo zamani kidogo, mimi nilikuwa nasikia wanasema

ESHESHESHEEEEE

baadae nikaja kugundua wanasema

EXPRESS YOUR SELF

Nilijiona Fara.

Halafu Kuna yale maneno yanasikika baada ya taarifa ya habari ya RADIO FREE AFRIKA (RFA)

Yanasema:-

OBSUGU OBSUGU...AREFEI AREFEI

hadi leo sielewi wanasema nini.

Karibu tutiririke

Kumbe tulikua wengi hapo kwnye rfa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Obsugu obsugu -kama sikosei no ABSOLUTELY.

Ngoja wajuzi waje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi mimi zamani nilikuwa sijui kabisa kwamba najua hadi nilipokuja kujua kwamba nilikuwa najua ndipo nikaacha kujua tena
 
Back
Top Bottom