Uzi maalum wa kutambuana professional zetu kwa atakae taka

Cheef Baroka

JF-Expert Member
Apr 28, 2019
491
1,000
Wakuu baada ya post nyingi za " anaefahamu jambo hili anisaidie ", "mwenye kitu hichi anisaidie" nk nimeona nirahisishe tukutane hapa kila mtu ataje japo kitu kimoja anachokifahamu kinaga ubaga (nje ndani) ili siku yoyote mtu akihitaji msaada katika jambo hilo akutafute direct.

Note: sio lazima utaje kile unachojishughulisha nacho ila ukiridhia mwenyewe sawa (kwa kutunza taarifa zetu personally ) ila ni lazima utachokitaja uwe unakifahamu vilivyo na sio ku pretend.

Lengo: ni kuji identify ili kuvutia fulsa na marafiki wa kada yako na sio kutambiana au kujionesha. Pia kurahisisha mchakato kwa watakao taka huduma yako.

Me binafsi ukiacha kutumikia umma, ila nimezunguka sana kibiashara nchi namikoa kadhaa, nimetengenza mtandao wa wafanya biashara na wateja tofauti tofauti,. Pia nina experience na biashara kadhaa kuanzia za mtaji mdogo kabisa hadi level za kati. So nina ji identify kama Mfanya biashara.

KARIBUNI TUTAMBUANE

Kwa nilipo kosea mtanirekebisha.
 
Nafikiri mkuu ungesema na aina ya biashara ingekuwa poa zaid
 
Mueleweshe sasa in summary hauoni hapo umeamuacha njia panda.
Hebu elewa kwamba jamaa alijaribu kusema amezunguka mikoa mingi na amefanya mtandao na wafanyabiashara Sasa swali no kwa bidhaa gan ambayo imemfanya awaunganishe hao wafanyabiashara
 
Nafikiri mkuu ungesema na aina ya biashara ingekuwa poa zaid
Duh! Watu tunatoka mbali sana kk. Nimewahi fanya hadi m-pesa badae nikawa supper agent Shortly ,nimewahi kufanya nafaka nikisafirisha nchi za jirani, nikafanya , nmefanya madini, nimefanya mifugo nikisafirisha Drc, nimelima pia, nimefanya vipodozi nk ..kiufupi nimepitapita kwenye maisha ya design nyingi nyingi ko biashara naijua kiasi changu
 
[/QUOTE
Asante kwa kutushirikisha pia mkuu Ila ningependa unieleze kwa ufup kuhus biashara ya nafaka Mana binafsi nalikuwa nataka kuanza kuuza mchele kwa hapa dsm na nakuwa nautoa mkoan Mbeya-Kyela
 
Duh! Watu tunatoka mbali sana kk. Nimewahi fanya hadi m-pesa badae nikawa supper agent Shortly ,nimewahi kufanya nafaka nikisafirisha nchi za jirani, nikafanya , nmefanya madini, nimefanya mifugo nikisafirisha Drc, nimelima pia, nimefanya vipodozi nk ..kiufupi nimepitapita kwenye maisha ya design nyingi nyingi ko biashara naijua kiasi changu

Umepambana mkuu na bado haukuwa nzuri kwako ukaenda kwenye utumishi wa umma ukakubali yaishe tuu☺
 
Mimi ni mfanyabiashara wa mafuta ya nazi jumla na rejareja na pia najiusisha na uuzaji wa dagaa kutoka tanga

Kwa mawasiliano zaidi - 0672844844
0620655665
 
Back
Top Bottom