Uzi maalum wa kujifunza Java online

Mmeanza tena kulumbana....sisi wanaf tunaskilizia tu.
Sijui mtaweka lini mwafaka tujifunze kitu
 
Watu wa ajabu yaani html ni programming language dah!
 
Someni java source code jomoni
 
java yahitaji mwalimu
Bora html waweza elewa mwenyewe

Sijui unaposema mwalimu unamaanisha nini?
Maana naweza kwenda Udemy nkachukua course ya Tim ya Java Masterclass na nkasema huyo ndo mwalimu wangu au nkatafuta kitabu nkasoma na bado nkasema hicho kitabu ndo mwalimu wangu!

Nawaomba wote mtakaosoma hii thread puuzeni comment kama hizi!

Na kama unataka jifunza java download hii video tutorials za Udemy za TIM BULCHAKA ina about 70hrs videos.
Ime cover kila kitu unachoitaji kuwa Java Developer isipokua haigusii Java web apps wala android apps i.e ime cover GUI kwa kutumia Javafx, Network programming,Debuggind and Unit testing,Database programming, Concurrency/Threading e.t.c

Utajionea kabisa hii kitu imesheeni madini machahce kuweza kupata

Complete Java Masterclass Udemy Download Free | FreeTutorials.Us
 

Kwa hizo picha ulizoweka si bora usingeweka picha kabisa!
 
i meant kupata mtu mwenye utaalamu na language husika. probably mtu kama wewe!
 
Mi nataka kwanza kuanza na HTML
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…