Uzi maalaumu wa tusio taka kujiandikisha

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,417
Nauhakika JF inaheshimu haki za kikatiba za mmoja mmoja ,kujiandikisha ni suala hiari na asietaka katiba inamlinda ,mimi sababu yangu ni silidhiki na nia ya dhati ya serikali kusimamia demokrasia ,sioni uhuru wa wanariadha wengine kukimbia (vyama pinzani ,wanaharakati ,wananchi)

Siamini kama kuna uhuru wa vyombo vya habari kutofuatilia kifo cha azory kwa userious ,kukamatwa waandishi wa habari kuliko muda wote tangu 1961,best record ya kufungia na kutishia waandishi ,tunaanzia Paschal mayalla day one .

Tume kutokuwa huru ,kujihusisha sana na mambo ya chadema+cuf +act kuliko CHAUMA ,CCM , DP ,TADEA etc huko hakuna onyo la kulazimisha uchaguzi wala kuwafuatilia matumizi yao maana kimsingi hawako serious au wako madarakani .

Ntapiga kura kwa kushtaki kwa allah na kuombea serikali ijitambue .

MIMI SIJIANDIKISHI NG'O
 
demokrasia bado ni tatizo africa sio kwa serikali za africa tu bali mpaka kwenye vyama vya siasa vinaminya demokrasia ndani ya vyama
 
Back
Top Bottom