madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,498
- 2,925
Kama kichwa cha habar kinavyo jieleza tufarijiane tupeane moyo naanza na mimi mwenyewe binafc ni kujana wa makamo ambae cjafikisha umri wa miaka 40
Nilikua na ofic kariakor kodi ml 1 kwa mwezi nilweza kumudu kuilipa nilikua na viwanja kadhaa magar mawili ya kutembelea
Nilimiliki nyumba moja na ambayo mpaka sasa nimebaki nayo
Nimesafir nchi mbali mbali Kenya muzambiq Ethiopia Thailand hongkong Qatar China kote huko ni katika kutafuta riziki nilimiliki pesa nyingi tu lakin vyote vimebaki history
Nimepoteza katika utafutaji sikuwahi kuchukua mkopo bank namshukur Mungu huenda nisingekuwemo kwenye ka pagala kangu kigambon
Nimesemwa sana na bado nasemwa sana nimefirisika na ndugu jamaa na marafiki
Nimejifunza mengi sana katika Haya mapito
Nimeshawajua rafiki zangu na ndugu zangu bado nipo kwenye safar ndefu ya kutafuta cjakata tamaa najua tuko wengi hebu tufarijiane tulio filisika na pia wafilisika watarajiwa tupeni ushaur wa ki saikolojia tunapitia mazingira magum sana
Sema umepoteza nini jipe imani kama utarudi kama zamani au zaidi
Nb nimefirisika katika kutafuta hakuhusiani na utawala huu.