Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya pedejee Yanga Omary rais wa Tanga

Kikosi maalum kilitoka Dar kwenye kumshughulikia Yanga Omary, kile kikosi cha Tanga ambacho kilikuwa kwenye payrol ya jamaa walikuwa hawaijui hii operation kabisaa
Kabisa hata yule mzungu wa bangi Moshi ni kikosi maalum kabisa toka dar
 
Hii ishu ya huyo msanii nilisikia toka enzi ya jakaya tena na yule wa kariakoo alipewa huu mchongo aufanye ila akachomoa eti sababu ya dini wakati anaimba mziki
 

Umeeelezea vyema sana
napenda sana kazi za usalama wa taifa sijui hua wanapataje izo nafasi
 
Mkaldayo umenichekesha sana
 
Umejifunza Nini?
 
Aaache upumbavu yeye ni nani asikae jela, baaada ya raha shida yaja akubali tu miaka 30 siyo mingi atatoka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…