Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya pedejee Yanga Omary rais wa Tanga

Hahaha na hata ww ulicho andika hapa msela wako pale ana jua na ana file lako la ju expose issue nyeti kama hii 😀😀☝️
 
Hyo ni chai tu Kama chai zingine.

Umekusanya story za vijiweni na kuamua kufunguwa uzi.

Hivi Kama mkewe angekuwa ni informer angechukuwa miaka 5 kutoa taarifa za kukamatwa Yanga Omar?
 
Naona ukakasi kuwa mke ni informer na amekaa naye miaka 5. Alikuwa anakusanya ushahidi? Miaka mitano informer anafanya nini kwa muuza madawa ? Ambaye akikaa naye miezi mitatu tu anapata ushahidi wote.
 
Kweli hata mimi napata wasiwasi kama huyu mke alikuwa mpelelezi. Kama ni kweli basi walikuwa wanafanya hiyo biashara wote.
 
Naona ukakasi kuwa mke ni informer na amekaa naye miaka 5. Alikuwa anakusanya ushahidi? Miaka mitano informer anafanya nini kwa muuza madawa ? Ambaye akikaa naye miezi mitatu tu anapata ushahidi wote.
Mkuu hawa watu hawatambuliki kilahisi hivyo na ndio code za kazi zao unaweza kukaa nae hata miaka ishirini...na bado usimgundue

Angefanya haraka angeharibu miiko ya kazi yake na huwenda hata yeye alikuwa akimsaidia kusambaza
 
Mali zake wametaifisha zote? Nmeona kwny gazeti heading tu....ajali kazini
 
Back
Top Bottom