Uzi huu ni kwenu wanawake

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,042
Mwanamke unapokuwa unakataa kataa wanaume kwasababu zako mwenyewe, kumbuka pia na andiko hili;

Nabii Isaya

Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”

Sasa kuwa makini wakati huo usije ukakukuta bado upo kwenu ukaishia kuwa mchepuko tu.
 
Hawapo sikuhz wanaokataa mfuko wako tu.
 
Shontele anakwambia
Impossibleee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…