Uzee mwisho msata!

Dah , oyaaa joseverest , ule uzi wa yule jamaa aliyequote kifungu cha biblia unaitwaje , na kile kifungu ni kipi,

Sory nikumbushe mkuu, nnashida nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah , oyaaa joseverest , ule uzi wa yule jamaa aliyequote kifungu cha biblia unaitwaje , na kile kifungu ni kipi,

Sory nikumbushe mkuu, nnashida nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh upi huo?? ninaokumbuka mimi ni ule wa Saint Ivuga ndio niliandika kwa style ya biblia...mwingine sikumbuji labda unikumbushe
 
kwahiyo bibi kama huyo anaweza akanivulia nguo ya ndani mimi nifanye kitu pale katikati na mimi bado tu nikawa bado nashangaa hapohapo chumbani bila kuchomoka na kutimua mbio!
 
Anameeeereemeeta, ana mereeeeeeeeeeemetaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…