Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Wadau,
Pale BOT hakuna mama anayekubali uzee. Wamama wa BOT wana swagga asikwambie mtu.
Hakuna mama wa BOT asiyejiweka make up, tena make up hasa kama ile ya Asha Baraka.
Ukifika BOT, wamama wa pale wanahuruma sana kwa vijana. Ukiwa unaenda kuingia kwenye ofisi yoyote ile mama yeyote wa BOT akikuona atakwambia subiri kijana wangu nikufungulie na card yangu we huna card huwezi kufungua.
Wamama wa BOT ukiwaamkia shikamoo wanakujibu "am fine, za kwako?"
Baada ya kumaliza shida yako iliyokupeleka BOT unaweza ukakuta mmama anakwambia kijana wangu chukua namba yangu endapo kuna kitu hujanielewa utapiga simu kuniuliza kuliko kuja tena mpaka huku ni usumbufu. Akishachukua anasema ni beep namimi ili ukipiga nisikuulize ulize wewe ni nani. Baada ya hapo mnaendelea na mawasiliano mpaka mwisho, kweli BOT ni shiiiidah.
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Last edited by a moderator: