Uzazi

Hukupata ushauri mzuri. Ni hatari sana mimba ikitoka ukae bila kusafishwa. Tena una bahati kuna mdada aliwahi kufanya hivyo hivyo ilibidi kizazi (uterus) kitolewe.
 
Hukupata ushauri mzuri. Ni hatari sana mimba ikitoka ukae bila kusafishwa. Tena una bahati kuna mdada aliwahi kufanya hivyo hivyo ilibidi kizazi (uterus) kitolewe.
Maybe lkn tka nimesafishwa wala ata sijaumwa tena
 
Maybe lkn tka nimesafishwa wala ata sijaumwa tena
Tatizo siyo kuumwa tena, tatizo je, kuna madhara yoyote yameshatokea kwenye viungo vya uzazi kutokana na uchafu uliokuwa umebaki? Omba Mungu akusaidie na pia uende hospital wakuchunguze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…