Uzao wa Wanephili unavyowadanganya, mmeliwa kama hajui hili

Joshua justine

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
792
1,007
Hawa jamaa mfumo wao bado ni uleiule wa kutengeneza problem ambazo hazina solution popote halafu wanaleta solution baadae wao wenyewe mfano magonjwa makubwa makubwa yasiyotibika kiurahisi duniani n.k.

Vivyo hivyo ndio wanavyofanya katika uchumi wa dunia ulimwe guni kote, wanatubania kiuchumi nchi zetu halafu wanatuletea model zao za uchumi ili tuzidi kuwa watumwa mamboleo wao milele.

Sasa kumbe hiyo inatokea mpaka locally,
Hili ndio jambo baya na la.kusikitisha sana, matajiri wa kifreemason na wanasiasa wao ndio operators wa jambo hili. Kadri siku zina yokwenda wanazibana taratibu system za kiuchumi nchini, hali inakuwa mbaya , vikana wanachanganyikiwa kwa ukata , ajira hakuna.

Kwa upande mwingine hao hao wanakuambia tafuta pesa, sasa unatafuta na huzioni pa kuzipata , huku unazodi kuonyeshwa maisha mazuri ambayo ni ndoto ya kila kijana, hiyo ni confusion sasa.

Mwishoni wanakukaribiaha ujiunge freemason, ikifika hatua hiyo ni vikana wachache sana wanapona, utasikia tu vikana kibao wanasema nipe connection ya hao freeamason na mm, hatakama anasikia ushuhida wa kutisha wenye majuto Na misiba wa mtu aliyeponyoka kutoka kwa hao mashetani, can you imagine wanapotufikisha ni hatari sana.

Mcheki huyu jamaa ni mmoja wa vijana wao anayepewa pesa nyingi kuwachanganya vijana na nna amini mpaka sasa kashawaunga wengi bila ahaka.

NB : TAFUTA Chief_godlove ....huko tiktok utaelewa,

((((JIBU LA TATIZO HILI NIMEWEKA POST #14))))
 
dini kuna mda mwengine inakosa ya nyuma kueleza inarukia ya mbele tuliuopo sasa.
mtu ana kwambia dunia imekishwa kuna mashoga !.sasa huko kwenye vitabu mashoga walikuwepo kabla vizazi vya leo
 
nimetoka mkavu
Wanangangania utajiri wote kwa mbinu zote ikibidi ufisadi na wanangangania uongozi wote ikibidi kwa kuiba kura kwa sababu wawe na total control ya mifumo ili baadae waachie njia za kufanikiwa ambazo zitakuwa za kishetani,
Kwa kuwa wanabana kotekote, kijana atakosa option ila kutafuta namba za freemason kwenye mabango, facebook, insta, google na kwa wenyewe wenye connection zao,
 
Hawa jamaa mfumo wao bado ni uleiule wa kutengeneza problem ambazo hazina solution popote halafu wanaleta solution baadae wao wenyewe mfano magonjwa makubwa makubwa yasiyotibika kiurahisi duniani n.k
Vivyo hivyo ndio wanavyofanya katika uchumi wa dunia ulimwe guni kote, wanatubania kiuchumi nchi zetu halafu wanatuletea model zao za uchumi ili tuzidi kuwa watumwa mamboleo wao milele.
Sasa kumbe hiyo inatokea mpaka locally,
Hili ndio jambo baya na la.kusikitisha sana, matajiri wa kifreemason na wanasiasa wao ndio operators wa jambo hili. Kadri siku zina yokwenda wanazibana taratibu system za kiuchumi nchini, hali inakuwa mbaya , vikana wanachanganyikiwa kwa ukata , ajira hakuna.
Kwa upande mwingine hao hao wanakuambia tafuta pesa, sasa unatafuta na huzioni pa kuzipata , huku unazodi kuonyeshwa maisha mazuri ambayo ni ndoto ya kila kijana, hiyo ni confusion sasa.
Mwishoni wanakukaribiaha ujiunge freemason, ikifika hatua hiyo ni vikana wachache sana wanapona, utasikia tu vikana kibao wanasema nipe connection ya hao freeamason na mm, hatakama anasikia ushuhida wa kutisha wenye majuto Na misiba wa mtu aliyeponyoka kutoka kwa hao mashetani, can you imagine wanapotufikisha ni hatari sana !
Mcheki huyu jamaa , ni mmoja wa vijana wao anayepewa pesa nyingi kuwachanganya vijana na nna amini mpaka sasa kashawaunga wengi bila ahaka.

NB : TAFUTA Chief_godlove ....huko tiktok utaelewa,

Bro tafuta kazi ufanye.... Achana na hzo story za abunuasi...

Kingine tena... Kama watu wamekuzid uwezo kubali... Ach kutafuta visinguzio

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Nawasaidia wasiojua kuconnect dots ambao mnawadanganya kila siku....

Mnawaahidia solution wakati nyinyi wenyewe ni wafungws... Sasa mtu aliyeuza nafsi yake kwa lusifa anaposema tutacreat ajira nyingi, halafu akiingia madarakani hali inakuwa mbaya mara tatu zaidi , we unaelewa maana yake hapo ?
Waambieni watu ukweli dawa ni kumtafita Mwenyezi Mungu , muumba wa mbingu na ardhi na kumtolea ZAKA NA SADAKA ndipo uchumi wa mtu mmoja mmoja utakombolewa na wala sio kuwategemea matajiri fake waliouza nafsi zao kwa lusifa ( hata kama wamekuajiri, jiongeze mapema), na sio kutegemea ahadi fake za wanasiasa njas hawa,
Wanazuoni ws mambo ya maendeleo wote wanakubaliana kuwa ," ideas*, ndio mbegu ya kwanza ya maendeleo, na nchi za wenzetu za mbele wanaheshimu sana ideas, hiyo ni kiroho pia kama hujui,
Una.pomtolea Mwenyezi Mungu, Zaka na Sadaka , na kuwasaidia maskini ( sadaka ) , yeye Mungu pamoja na kuibarikia kazi ya mikono yako pia anakupa revelation za ideas ambazo zitakupa kuona njia bora zaidi za kutafuta pesa ama uzalishaji.
If you need baraka na ideas , mtolee Mungu kwa ukamilifu na uaminigu, kama umepata buku hakikisha sh. Mia ( 10%} ni zaka ya Mungu bila kukosa, utaona matokeo baadae, vinginevyo freemason itakuhusu baadae maana hutatoboa kiuchumi,
Na hawaingii kule moja kwa moja , wengine, huanza na hizi shetani ndogo ndogo za kutafuta uganga wa biashara taratibu , watakuja kujikuta huko maana uganga ni maagano yanakupa connection tayari,
 
Nawasaidia wasiojua kuconnect dots ambao mnawadanganya kila siku....

Mnawaahidia solution wakati nyinyi wenyewe ni wafungws... Sasa mtu aliyeuza nafsi yake kwa lusifa anaposema tutacreat ajira nyingi, halafu akiingia madarakani hali inakuwa mbaya mara tatu zaidi , we unaelewa maana yake hapo ?
Waambieni watu ukweli dawa ni kumtafita Mwenyezi Mungu , muumba wa mbingu na ardhi na kumtolea ZAKA NA SADAKA ndipo uchumi wa mtu mmoja mmoja utakombolewa na wala sio kuwategemea matajiri fake waliouza nafsi zao kwa lusifa ( hata kama wamekuajiri, jiongeze mapema), na sio kutegemea ahadi fake za wanasiasa njas hawa,
..... Ila hii nchi ni ngumu sana kuongoza

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Mcheki huyu jamaa ni mmoja wa vijana wao anayepewa pesa nyingi kuwachanganya vijana na nna amini mpaka sasa kashawaunga wengi bila ahaka.

NB : TAFUTA Chief_godlove ....huko tiktok utaelewa,

((((JIBU LA TATIZO HILI NIMEWEKA POST #14))))

Hana bata yoyote anayokula zaidi ya kuvaa smart na kupiga picha, huyo clout chaser tu unaskia anaomba watu wa comment kweny video ya pili anajiita ginimbi mdogo 😁

Huyu yahoo boy wa kibongo anafata nyendo za ginimbi, hushpapi..
 
Hawa jamaa mfumo wao bado ni uleiule wa kutengeneza problem ambazo hazina solution popote halafu wanaleta solution baadae wao wenyewe mfano magonjwa makubwa makubwa yasiyotibika kiurahisi duniani n.k.

Vivyo hivyo ndio wanavyofanya katika uchumi wa dunia ulimwe guni kote, wanatubania kiuchumi nchi zetu halafu wanatuletea model zao za uchumi ili tuzidi kuwa watumwa mamboleo wao milele.

Sasa kumbe hiyo inatokea mpaka locally,
Hili ndio jambo baya na la.kusikitisha sana, matajiri wa kifreemason na wanasiasa wao ndio operators wa jambo hili. Kadri siku zina yokwenda wanazibana taratibu system za kiuchumi nchini, hali inakuwa mbaya , vikana wanachanganyikiwa kwa ukata , ajira hakuna.

Kwa upande mwingine hao hao wanakuambia tafuta pesa, sasa unatafuta na huzioni pa kuzipata , huku unazodi kuonyeshwa maisha mazuri ambayo ni ndoto ya kila kijana, hiyo ni confusion sasa.

Mwishoni wanakukaribiaha ujiunge freemason, ikifika hatua hiyo ni vikana wachache sana wanapona, utasikia tu vikana kibao wanasema nipe connection ya hao freeamason na mm, hatakama anasikia ushuhida wa kutisha wenye majuto Na misiba wa mtu aliyeponyoka kutoka kwa hao mashetani, can you imagine wanapotufikisha ni hatari sana.

Mcheki huyu jamaa ni mmoja wa vijana wao anayepewa pesa nyingi kuwachanganya vijana na nna amini mpaka sasa kashawaunga wengi bila ahaka.

NB : TAFUTA Chief_godlove ....huko tiktok utaelewa,

((((JIBU LA TATIZO HILI NIMEWEKA POST #14))))
Na ukaweka unsupported video ili nani aangalie?
 
Back
Top Bottom