Uzalendo ni zaidi ya PHD

Prosper C Manasse

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
635
690
"My OUTLOOKs"
* * * * * * * * * *
"07/FEBR/2016"

*Zamani Tuliwathamini Sana Wasomi Na Kuwaona Wao Ndiyo Kesho Yetu.

*Tuliwaacha Watusemee Hata Pale Tulipoweza Kusema Kwa Ndimi Zetu.

*Lakn Leo, Wasomi Wamekuwa Wanafiki Wanaojali Matumbo Yao.

*Kila Kukicha Wanatuhimiza Tuchague Viongozi Wasomi Na Baada Ya Kuwapa Nafasi Wanageuka Kuwa Pilipili Machoni Petu.

*Wametugeuza Kuwa Mashabiki Wao Na Tunachofaidika Kutoka Kwao Xaidi Machungu.

*Wametugawa Madaraja Kwmb Wao Wasomi Waishi Kama Wafalme Sisi Tusio Wasomi Tuwe Watumwa Kwao.

*Wamekuwa Watu Wa Mipango Mingi Bila Utendaji.

*Wanataka Tuwaunge Mkono Hata Kama Wanachoongea Ni Ujinga.

*Ushabiki Umetugubika Kiasi Cha Kushindwa Kuweka Utashi Wetu Mbele Na Badala Yake Tunapelekwa Kama Mazuzu.

NB: BORA KUONGOZWA NA MZALENDO ALOISHIA DARASA LA PILI KULIKO Phd MWIZI.
 
Back
Top Bottom