Timu ya taifa ya England maarufu kama Three Lions pichani inapata mafunzo ya uzalendo jeshini. Si vibaya na sisi tukaiga mafunzo haya ya uzalendo kwa timu zetu za taifa jeshini.
Timu ya taifa ya England maarufu kama Three Lions pichani inapata mafunzo ya uzalendo jeshini. Si vibaya na sisi tukaiga mafunzo haya ya uzalendo kwa timu zetu za taifa jeshini. View attachment 520232 View attachment 520233
Jeshi letu NCHINI ni Ngumu kufikia hatua hii...linajichukulia KUVAA TU SARE zinazo endana na za kwao kama NDIO TAYARI umefuzu ama umewachukulia KAZI YAO...!!
Hawatambui kama kuna Watu na VIPAJI wamejazana URAIANI wenye Mapenzi na Imani katika JESHI zaidi ya wale walio pelekwa na NDUGU kwa lengo tu WACHUME Mshahara..
Toka tu UMEVAA Pensi ama "KAWOSH" wengine wanaita "Singlendi"..
Uzalendo hujengwa na haki na usawa. Wewe utaimbishwa uzalendo ili ulipwe kidogo na upate huduma duni... Lakini wao wakitafuna uchumi wa nchi kilainiii.