Ulazima kisa nini?! Uzalendo ni zao la haki kwa watu wote!! Siyo kada nyingine ktika nchi kujiona ni taifa na linastahili heshima na nyingine kuwa la wahuni na takataka lisilohitaji heshima.hata sijaelewa chochote hapa hasa nia yako mtoa post, anyway uzalendo ni suala la lazima
Mnyeti akisema aliwanunua madiwani, na bado atanunua wengine zaidi na ikibidi hata mbunge wao; tushangilie, tusiwe wapingaji kwa kila jambo. Tuwe wazalendo
Watanzania wote tuungane kumkemea Nasarry na Lema kupotosha umma kwamba walimrekodi disii akiwanunua madiwani. Tuungane na takukuru kukemea propaganda hizo chafu. Huo ndo uzalendo
Mapato ya nchi yamepanda, hamuoni tumenunua midege kibao kwa keshi? Mnahoji nini, mnarudisha nyuma juhudi za maendeleo ya viwanda. Huo sio uzalendo
Shirika la mwanga wakati wa mvua kero ya umeme inaanza usiku mzima, mchana kutwa. Treni za umeme zitakuja na pawa benki msihofu. Kuweni wazalendo
Tulijenga mabweni udsm kwa bil 10, mnapotosha takwimu za serikali kuwa ni bil 54. Kuweni wazalendo
Bashite anakagua miradi zenji, anafanya kazi za wizara ya mambo ya ndani, amekua zaidi ya arasii. Nasema piga kaazii, wewe ni mzalendo
Nchi hii ni tajiri sana, itabidi sisi ndo tuanze kuwapa misaada. Waandishi wa habari mnasema deni la taifa ni trillion 54. Wekeni uzalendo mbele, Tanzania kwanza
Magazeti mengine yanapotosha, wanaandika uchochezi. Jerry msigwa huwa anakose kidogo tu, hata tibisii waliteleza kidogo tuu. Kuweni wazalendoo.
Nchi hii iliibiwa sana, tumechezewa sana, tumekua shamba la bibi. Hao marais wastaafu muwache wapumzike, wamefanya kazi kubwa sana kwa hii nchi. Wazee wastaafu wanawashwawashwa. Tuweke maslahi ya taifa mbele
Maendeleo hayana chama, hao wapinzani wananiomba omba nafasi, kwenye serikali yangu wasahau, hao sio wazalendo
Tunafikiria kutuma malaika azime mitandao, mitandaoni hakuna uzalendoHivi neno uzalendo unajua maana yake? uzalendo ni kukubali kila uongo unaosemwa na malaika wa ccm? uzalendo ni kulazimisha watu wapende wasichokipenda? hiyo takukuru iliyomezwa na siasa za kishabiki inawezaje kumtia hatiani mteule wa malaika wa ccm? shame on you
Wewe unamchukulia mtoa mada serious yeye anakejeli tu ni kama yeye mtoa mada hakumuelewa Mkuu wa wilaya ambaye alikua nawakejeli kina Nassari, wao wanadhani anathibitisha. Kiswahili ni Lugha yetu lakini ni kigumu kukielewa labda kama ulikisomea. Ukiwa umekisomea kiswahili kama Lugha unaweza kumuelewa Mkuu wa wilaya alikua ana maana gani.Hivi neno uzalendo unajua maana yake? uzalendo ni kukubali kila uongo unaosemwa na malaika wa ccm? uzalendo ni kulazimisha watu wapende wasichokipenda? hiyo takukuru iliyomezwa na siasa za kishabiki inawezaje kumtia hatiani mteule wa malaika wa ccm? shame on you
lolz!!Mnyeti akisema aliwanunua madiwani, na bado atanunua wengine zaidi na ikibidi hata mbunge wao; tushangilie, tusiwe wapingaji kwa kila jambo. Tuwe wazalendo
Watanzania wote tuungane kumkemea Nasarry na Lema kupotosha umma kwamba walimrekodi disii akiwanunua madiwani. Tuungane na takukuru kukemea propaganda hizo chafu. Huo ndo uzalendo
Mapato ya nchi yamepanda, hamuoni tumenunua midege kibao kwa keshi? Mnahoji nini, mnarudisha nyuma juhudi za maendeleo ya viwanda. Huo sio uzalendo
Shirika la mwanga wakati wa mvua kero ya umeme inaanza usiku mzima, mchana kutwa. Treni za umeme zitakuja na pawa benki msihofu. Kuweni wazalendo
Tulijenga mabweni udsm kwa bil 10, mnapotosha takwimu za serikali kuwa ni bil 54. Kuweni wazalendo
Bashite anakagua miradi zenji, anafanya kazi za wizara ya mambo ya ndani, amekua zaidi ya arasii. Nasema piga kaazii, wewe ni mzalendo
Nchi hii ni tajiri sana, itabidi sisi ndo tuanze kuwapa misaada. Waandishi wa habari mnasema deni la taifa ni trillion 54. Wekeni uzalendo mbele, Tanzania kwanza
Magazeti mengine yanapotosha, wanaandika uchochezi. Jerry msigwa huwa anakose kidogo tu, hata tibisii waliteleza kidogo tuu. Kuweni wazalendoo.
Nchi hii iliibiwa sana, tumechezewa sana, tumekua shamba la bibi. Hao marais wastaafu muwache wapumzike, wamefanya kazi kubwa sana kwa hii nchi. Wazee wastaafu wanawashwawashwa. Tuweke maslahi ya taifa mbele
Maendeleo hayana chama, hao wapinzani wananiomba omba nafasi, kwenye serikali yangu wasahau, hao sio wazalendo
Mwandishi msome kwa makini ili umuelewe, upo uzalendo unaotakiwa tuwe nao. Hatihitajiki kuwa wazalendo wa nchi bali vikaragosi watiifuHivi neno uzalendo unajua maana yake? uzalendo ni kukubali kila uongo unaosemwa na malaika wa ccm? uzalendo ni kulazimisha watu wapende wasichokipenda? hiyo takukuru iliyomezwa na siasa za kishabiki inawezaje kumtia hatiani mteule wa malaika wa ccm? shame on you
Huyo anayehubiri uzalendo ndo huyo aliyeuza nyumba za serikali kwa vimada wake na mpaka leo hajatangaza mali zake alizochuma huko kwa wakandarasi.sifa za kijingaMnyeti akisema aliwanunua madiwani, na bado atanunua wengine zaidi na ikibidi hata mbunge wao; tushangilie, tusiwe wapingaji kwa kila jambo. Tuwe wazalendo
Watanzania wote tuungane kumkemea Nasarry na Lema kupotosha umma kwamba walimrekodi disii akiwanunua madiwani. Tuungane na takukuru kukemea propaganda hizo chafu. Huo ndo uzalendo
Mapato ya nchi yamepanda, hamuoni tumenunua midege kibao kwa keshi? Mnahoji nini, mnarudisha nyuma juhudi za maendeleo ya viwanda. Huo sio uzalendo
Shirika la mwanga wakati wa mvua kero ya umeme inaanza usiku mzima, mchana kutwa. Treni za umeme zitakuja na pawa benki msihofu. Kuweni wazalendo
Tulijenga mabweni udsm kwa bil 10, mnapotosha takwimu za serikali kuwa ni bil 54. Kuweni wazalendo
Bashite anakagua miradi zenji, anafanya kazi za wizara ya mambo ya ndani, amekua zaidi ya arasii. Nasema piga kaazii, wewe ni mzalendo
Nchi hii ni tajiri sana, itabidi sisi ndo tuanze kuwapa misaada. Waandishi wa habari mnasema deni la taifa ni trillion 54. Wekeni uzalendo mbele, Tanzania kwanza
Magazeti mengine yanapotosha, wanaandika uchochezi. Jerry msigwa huwa anakose kidogo tu, hata tibisii waliteleza kidogo tuu. Kuweni wazalendoo.
Nchi hii iliibiwa sana, tumechezewa sana, tumekua shamba la bibi. Hao marais wastaafu muwache wapumzike, wamefanya kazi kubwa sana kwa hii nchi. Wazee wastaafu wanawashwawashwa. Tuweke maslahi ya taifa mbele
Maendeleo hayana chama, hao wapinzani wananiomba omba nafasi, kwenye serikali yangu wasahau, hao sio wazalendo
Mnyeti akisema aliwanunua madiwani, na bado atanunua wengine zaidi na ikibidi hata mbunge wao; tushangilie, tusiwe wapingaji kwa kila jambo. Tuwe wazalendo
Watanzania wote tuungane kumkemea Nasarry na Lema kupotosha umma kwamba walimrekodi disii akiwanunua madiwani. Tuungane na takukuru kukemea propaganda hizo chafu. Huo ndo uzalendo
Mapato ya nchi yamepanda, hamuoni tumenunua midege kibao kwa keshi? Mnahoji nini, mnarudisha nyuma juhudi za maendeleo ya viwanda. Huo sio uzalendo
Shirika la mwanga wakati wa mvua kero ya umeme inaanza usiku mzima, mchana kutwa. Treni za umeme zitakuja na pawa benki msihofu. Kuweni wazalendo
Tulijenga mabweni udsm kwa bil 10, mnapotosha takwimu za serikali kuwa ni bil 54. Kuweni wazalendo
Bashite anakagua miradi zenji, anafanya kazi za wizara ya mambo ya ndani, amekua zaidi ya arasii. Nasema piga kaazii, wewe ni mzalendo
Nchi hii ni tajiri sana, itabidi sisi ndo tuanze kuwapa misaada. Waandishi wa habari mnasema deni la taifa ni trillion 54. Wekeni uzalendo mbele, Tanzania kwanza
Magazeti mengine yanapotosha, wanaandika uchochezi. Jerry msigwa huwa anakose kidogo tu, hata tibisii waliteleza kidogo tuu. Kuweni wazalendoo.
Nchi hii iliibiwa sana, tumechezewa sana, tumekua shamba la bibi. Hao marais wastaafu muwache wapumzike, wamefanya kazi kubwa sana kwa hii nchi. Wazee wastaafu wanawashwawashwa. Tuweke maslahi ya taifa mbele
Maendeleo hayana chama, hao wapinzani wananiomba omba nafasi, kwenye serikali yangu wasahau, hao sio wazalendo
Ulazima kisa nini?! Uzalendo ni zao la haki kwa watu wote!! Siyo kada nyingine ktika nchi kujiona ni taifa na linastahili heshima na nyingine kuwa la wahuni na takataka lisilohitaji heshima.
Lini Tanzania Chini ya CCM ilikuwa Great?
Hilo swali kamuulize mwanaokwa hiyo wewe sio mzalendo
Hilo swali kamuulize mwanao
Kiza gani Jamani!! Mbona mnajifanya wajinga wa kujitakia?!umeona kiza mbele lazima urudi nyuma