Uza simu ya Vodafone kutoka vodacom

Opticf

Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
62
Reaction score
4
Jaman mwenye kuuza simu ya vodafone kutoka vodacom aniuzie
 
nenda vodashops utapata. jaribu ya kinondoni
 
kwa nini unataka kwa sh 110 wakati mpya vodacom wanaitangaza 100 tu?????????/
 
Mi nauza ya kwangu ni Vodafone 875 Kali kishenz nauza laki 2
 
Si kwamba unaiuza kwa haifai inakusumbua?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kali ina nin zaid ya zngne

3G yenye kasi ya ajabu application zote zinapatikana kene hii cm ,touch screen kubwa na bado ni mpya kabisa,vodashop walikuwa wanauza 260
 
haaaaaaaaaaaaa kweli changamkia fulsa simu ya laki voda kunawatu wanauza laki 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…