Uza laptop

Uza laptop

kamanga2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2016
Posts
657
Reaction score
503
Ndugu wadau nahitaji laptop aina ya Dell au hp Kama uko nayo tafadhali weka specifications hapa ili tuwacliane zaidi offer yangu Ni 300k nipo Dar

MREJESHO
Nashukru kwa ushirikiano wenu wadau nliipata laptop mubarikiwe
 
HP 500 GB, 4 GB RAM, Core i3. Ni PC mbayo unaweza kutumia kama tablet kwa kuondoa display kwenye keyboard.

The price is TZS 550,000/=
 
specification za laptop ni😀ell Inspirion N5040Ram 4 GBHDD 500 GBProcessor duo core 2.13 ghz Kasoro zake:Haikai na batteryPrice: 300000/=Negotiable
 
dd5339412035bf95c91eb4df94a7f098.jpg
80e43b95723ee14c35df808a45fcb24f.jpg
 
HP 500 GB, 4 GB RAM, Core i3. Ni PC mbayo unaweza kutumia kama tablet kwa kuondoa display kwenye keyboard.

The price is TZS 550,000/=
HP 500 GB, 4 GB RAM, Core i3. Ni PC mbayo unaweza kutumia kama tablet kwa kuondoa display kwenye keyboard.

The price is TZS 550,000/=
Mkuu upo mkoa gani na je umeshauza hiyo laptop?
 
Back
Top Bottom