UWT ya CCM inasherehekea wapi siku ya Wanawake Duniani?

basi haya , bali mimi naona na kusikia ya bawacha tu
Script umewekewa uone ya bawacha, ili usikie presidaa kwa level yako, wale wasio access mitandao ambao ndio wengi wao wanaona live UWT. angalieni hizi siasa za nchi hii vizuri CCM hawalali wao kila tukio dogo wao wanashambulia kweli kweli na nguvu yao ni mitaani sio mitandaoni, ni kule walipowapiga kura wao, hata huo mkutano wa Bawacha amini nakwambia waliokuja na Mwenyekiti wao kama sio nusu basi wameteka media hawajakosea katika propaganda.
 
Huyu mama kaitenga ccm na wanaccm kaambua kuambatana na chadema na kikundi kidogo cha wala asali akiamini hicho kikundi na chadema ndio watampa kura za urais na kufanikisha ushindi wake.

Lakini hajui ccm hawashindwi kupiga kura hata kwa hashim rungwe na ikachafua hali ya hewa ya uchaguzi. Inawezekana anawachukulia poa ccm sababu anaamini anawamudu. Ila hata JK hao hao ccm walimgeuka.
 
Sisi wenyewe tuko mitaani lakini hatuwaoni au ndiyo yale ya kuvaa sare ukumbini kuogopa aibu ?
 
waliwakilishwa na Yule mkuu wa wilaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…