VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,006
Mkuu mimi napingana kabisa na hili wazo la kuwa na wabunge waili kila jimbo, hakuna logic yoyote. UWT na BAWACHA watuletee wabunge/viongozi ambao ni vichwa sio kwa kivuli cha jinsia. Wameondoa viti maaulum lakini wamerudisha kwa mlango wa nyuma eti lazima kuwe na mbunge Me na KE. Haina maana kabisa. Tuseme hapana kwa wabunge wawili.Mabaraza haya ya Wanawake ya CCM na CHADEMA,kwa mujibu wa Rasimu ya Katiba mpya, sasa yamepewa uhai mpya. Yatatakiwa kulea,kukuza na kuimarisha viongozi watarajiwa wa nchi hii. Mabaraza haya yatatutolea mgombea mmoja kwa kila jimbo la Uchaguzi wa Wabunge (Majimbo yote yakiwa 35) Tanzania Bara na Zanzibar. Ni wakati muafaka sasa kwa UWT na BAWACHA kuanza kazi ya kutukuka. Kazi rasmi za kisiasa kutuandalia viongozi. Na kazi ianze sasa! Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Utakuwa ni yule anti Vu? yule shoga mzee wa karibu na ofisi za chama?
heshimu watu! This is fallacy
Kuwa shoga ni hiari kabisa na wala siyo maumbile. Acha kutetea ubaradhuli.Wewe ndio unatakiwa uheshimu watu wenye jinsia tofauti na yako, anti Vu ni mtu kama wewe na kuwa shoga ni maumbile yake.
Si mimi Mkuu. Nakuheshimu sana na nayaheshimu mawazo yako.Lakini,kuwa makini katika kuchangia kwako mwanangu Nduka. Kwanini usijadili mada na kuleta masuala ya ajabuajabu. Si vyema Mkuu.Utakuwa ni yule anti Vu? yule shoga mzee wa karibu na ofisi za chama?
This is a very good boost for CHADEMA!