Uwongo wake umemponza

Mkuu umri wako tafdhari?

Mwanamke hata akija kwako analia machozi ya damu hata kama awe dada yako ati anaonewa na mme wale usisadiki!

Umechelewa sana kufahamu hilo wewe kula milo yote pita hivi
Yaani hata awe dada yangu, hapa umekosea labda wewe mpaka achinjwe huyo dada Ako ndo Ujue ana nyanyaswa, ukipata taarifa za dada Ako fuatilia na chunguza ukweli utaujua, kipomo Cha kwanza kwangu dada yangu kwenda kwa Mwanamme bila ndoa hapo na Mimi tumemalizana, na tayar amekuwa kiruka njia simwelewi na kwetu haijawahi tokea, Ima ameolewa au Yuko nyumbani over.
 
Siraha ya mwanamke hwa ni kulia kwa maigizo ili umuonee huruma. Hayo yaliyobaki ni ya kwako
 
Chakukwambia kuwa makini usije otewa utapakwa mafuta historia Yako ibadilike
 
Vile hata sisi dada tunao mkuu
Sawa kabisa Dada zetu kama hatujawaangalia kwa ukaribu ndo kuharibika kunapoanzia, dada mpuuzi aachwe na mambo yake, na aliye na matatizo ya kweli tumsaidie, kwani si wote wanaigiza, hicho ndicho ninachokusudia mkuu, Ishi na dada zako wajivunie Wana kaka Yao, ikiwa wewe humthamini aliyekutana naye hana bikira atamthamini?
 
Rudi kwenye comment ya kwanza urudie kusoma Tena.

Mwanamke hata akiwa dada Yako akija Analia machozi ya damu usimuamini.

Sikia mkuu mwanamke sio kwamba hawezi kuelezea shida yake bila kulia la hasha badala yake huja Kwa kulia kama siraha/ushawishi wa wewe mwanaume kumuona huruma kana kwamba anachokisema ni ukweli 100%

Mwanamke anajua wazi akilia basi utalivhukulia serious sana hata kama ni uongo.

Sasa kabla hujatoa maamzi kisa amakuja Analia fanya utafiti wa kina Kisha toa maamzi sahihi sio kisa Amelia sana basi kaonewa la hasha!! USIAMINI KILIO HICHO.

Mkuu dada zangu wanajivunia mno uwepo wangu. Nikiwa form4 tu nilimpiga shemeji Kwa kosa la kumpiga dada

Miaka2 tu iliyopita nimemlaza shemeji siku1 kituoni Kwa kosa la kumpiga sister (mdogo wangu) akiwa Bado na kidonda Cha operation (upasuaji Wakati anajifungua)

Kwahayo yote lakini Huwa hawaji kwangu kesi za kipuuzi maana ubao kumgeukia ni dk0 tu Huwa hawaji kabisa kabisa nitaishia kusikia tu .
 
Ni wewe so mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…