habari wana jamii
kwanza huduma za vifurushi zime panda, kwa mfano kile kilichokua kinauzwa 995 sasa hivi ni 999,
hiyo sio case sana, leo baada ya kuamka sikua na kumbukumbu simu yangu yenye line ya tigo nimeiweka wapi,nika i bip kwa simu ya voda, baada ya mlio kuita na kuipata nikaikata ile ya tigo, baada ya kama sekunde 5 hivi nikapata msg kutoka tigo kwamba nimetumia sekunde 6, sikuamini, nika piga tena kwa line ya voda nika ikata nikapokea text nimetumia sekunde 8,nikapiga tena na kukata nika pata text nimetumia sekunde 27,nikafanya tena nikatumia sekunde 13,ndio nime elewa sasa hivi kwamba kuna gharama ambayo anaingia mpigiwaji wa simu endapo hato ipokea ile simu na kuamua kuikata,huu ni uwizi, na kama mnavyoona hapo juu gharama zina vary, sijajua kigezo gani wanatumia,
tigo weziiiiiiiiii kama jina lao lilivyo, kikwetu Tigo ni mwizi ama kibaka wa aina yoyote,
makubwa tena haya, tigo ndiyo mtandao wenye wateja wengi kuliko mtandao mwingine wowote tz mpaka network yao inakuwa overloaded

Tena wezi sana mm wameniletea sms kuwa eti nina tsh 100000 kwajili ya pona,na 200000 za bima na makato kwa mwezi sh 1500,nimeshangaa sana maana sikumbuki kujiunga na mm nina bima yangu ya afya sijui hata huu wizi inakuwaje
Kwa kukusaidia zaidi ni kwamba tigo na voda are brothers, wengine tulishawahama hao wote siku nyingi, mtandao ulio wa kweli ni airtel, sanasana ukiona wahitaji line ya ziada basi panda jahazi vuka bahari nenda kwa wale jamaa wanaosema wanatawaliwa na mkoloni mweusi, bei zao ni nafuu sana nao
Hata humu unaweka Siasa? wabara