tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Pia nijuavyo, wale anao wateua, ame waamini kwamba wanaweza kumsaidia. Hivyo inapofika kuna mapungufu awape muda wa kujitetea na kuwapa taarifa za kutengua uteuzi wao na sio kutumia press kuwafikishia ujumbe. Huu ni udhalilushaji. Simtetei mtu ila huo ni utawala wa kistaarabu.Bila kupepesa macho na kumung'unya maneno, Rais Magufuli ana Uwezo (Strength) ufuatao:-
1. Jasiri.
2. Mchapakazi.
3. Mfuatiliaji.
Mapungufu yake:-
1. Mkali/Ana Hasira sana.
2. Anakurupuka sana kufanya maamuzi/ Hana Subira.
3. Hapendi kukosorewa na kupingwa kile anachokiamini.
4. Hana ustahimilivu wa kisisa.
5. Hana stadi za Diplomasia ya Kimataifa.
6. Ni mgumu kumuamini na kumpongeza mtu hadharani.
Namna ya kuyamudu mapungufu yake.
1. Awe mkali kiasi.
2. Awe na Subira ya maamuzi.
3. Akubali kushauariwa na kupingwa anapokosea.
4. Ajifunze kuwaamini wasaidizi wake na kutoa motisha chanya.
5. Asome Vitabu vingi vya Uongozi, Siasa na Diplomasia kwa Ujumla.
Akiyafanya haya pamoja na Ule uwezo (Strength) zake, yaani Ujasiri, Uchapakazi na Ufuatiliaji, hakika atakuwa kiongozi bora.
Namkosoa kwa sababu namtakia mema. Simsifii kumjaza kichwa baadae aharibikiwe.
Kuna wakandarasi wanaidai serikali yake pesa kbao yeye anatoa mapendekezo ya matumizi bila kulipa ambao wameuziwa nyumba kufanya miradi ya serikali. Hivi anaetakiwa kupangilia matumizi ya pesa za serikali ni mh. Rais au bunge??Leo nimesikia Mtu anaongea kwa uchungu kweli kuwa badala ya kupeleka pesa iliyopatikana kulipa malimbikizo ya mishahara anaenda kununua madawati na kutengeneza barabara.
isn't magufuli getting his priorities right?
Pia nijuavyo, wale anao wateua, ame waamini kwamba wanaweza kumsaidia. Hivyo inapofika kuna mapungufu awape muda wa kujitetea na kuwapa taarifa za kutengua uteuzi wao na sio kutumia press kuwafikishia ujumbe. Huu ni udhalilushaji. Simtetei mtu ila huo ni utawala wa kistaarabu.
Kuna wakandarasi wanaidai serikali yake pesa kbao yeye anatoa mapendekezo ya matumizi bila kulipa ambao wameuziwa nyumba kufanya miradi ya serikali. Hivi anaetakiwa kupangilia matumizi ya pesa za serikali ni mh. Rais au bunge??
Hayo Mapungufu ya JPM ndio zilikuwa Strength za Jakaya akaitwa Dhaifu na Strength za JPM ndio yalikuwa Mapungufu ya JK akaitwa Tingatinga, Acha tupate ladha tofauti!
Akija kuwatembeleeni hataki kusikia OC au Mafungu hayatoshi kwenye Risala mtazokuwa mnamsomea otherwise mtatumbuliwa!
Umeandika kisomi sana.Kuna kiongozi na Meneja
Unaweza ukawa meneja mzuri sana lakini ukawa kiongozi dhaifu, na unaweza ukawa kiongozi mzuri sana lakini ukawa meneja dhaifu.
Mwalimu Nyerere alikuwa ni kiongozi mzuri sana, lakini hakuwa meneja mzuri
Mkapa alikuwa half-half , Kiongozi wa uzuri wa wastani lakini pia meneja wa uzuri wa wastani
Kikwete alikuwa ni bonge la kiongozi, lakini hakuwa meneja mzuri
(ndiyo maana alianzisha na pia kuendeleza mambo ya msingi sana kama mabarabara, shule za kata, umeme kila kijiji, demokrasia pana, kuwezesha kina mama, kujenga na kutransform vyuo vikuu, kujenga mkongo wa taifa, kuanzisha taasisi kama TCRA, kuboresha afya kupitia mpango wa malaria, kujenga vituo vya moyo, kupatikana kwa ARV, kutoa pesa za kiutafiti kupitia incubator programs za COSTECH, mradi wa kuvuta maji kutoka Ruvu chini, mradi wa gesi, madaraja makubwa kwa madogo, Diplomasia ya hali ya juu etc). haya mambo ni mfumo wa kitaasisi ambao tutaendelea kunufaika nao miaka hata miaka
hata hivyo usimamizi wake wa mambo haukuwa mzuri, ndiyo maana kuna wafanyakazi hewa, twiga wanatoroshwa, Watu wanaiibia serikali, safari zisizo na maana wakati mwingine, n.k
Mimi naamini kama serikali ya sasa Itajifunza Leadership techniques za Jakaya Kikwete kisha Ikachukua Manegement Skills za Raisi wa sasa Tutapiga hatua kubwa
Without a Constant Variable, The equation is too hard to solve. Usiponielewa, utanielewa kwenye Mtihani.Talk all theories you have but what JPM is doing is right for this country. Mengine ni ungwini tuu watu wa kazi tunajua they are not part of any parameters in our equation
Special comment!Kuna kiongozi na Meneja
Unaweza ukawa meneja mzuri sana lakini ukawa kiongozi dhaifu, na unaweza ukawa kiongozi mzuri sana lakini ukawa meneja dhaifu.
Mwalimu Nyerere alikuwa ni kiongozi mzuri sana, lakini hakuwa meneja mzuri
Mkapa alikuwa half-half , Kiongozi wa uzuri wa wastani lakini pia meneja wa uzuri wa wastani
Kikwete alikuwa ni bonge la kiongozi, lakini hakuwa meneja mzuri
(ndiyo maana alianzisha na pia kuendeleza mambo ya msingi sana kama mabarabara, shule za kata, umeme kila kijiji, demokrasia pana, kuwezesha kina mama, kujenga na kutransform vyuo vikuu, kujenga mkongo wa taifa, kuanzisha taasisi kama TCRA, kuboresha afya kupitia mpango wa malaria, kujenga vituo vya moyo, kupatikana kwa ARV, kutoa pesa za kiutafiti kupitia incubator programs za COSTECH, mradi wa kuvuta maji kutoka Ruvu chini, mradi wa gesi, madaraja makubwa kwa madogo, Diplomasia ya hali ya juu etc). haya mambo ni mfumo wa kitaasisi ambao tutaendelea kunufaika nao miaka hata miaka
hata hivyo usimamizi wake wa mambo haukuwa mzuri, ndiyo maana kuna wafanyakazi hewa, twiga wanatoroshwa, Watu wanaiibia serikali, safari zisizo na maana wakati mwingine, n.k
Mimi naamini kama serikali ya sasa Itajifunza Leadership techniques za Jakaya Kikwete kisha Ikachukua Manegement Skills za Raisi wa sasa Tutapiga hatua kubwa
Uko sahihi tumepe mduda, tunampenda hivyo hivyo na mapungufu yake, acha awatumbue arudishe heshima na nidhamu tanzania ilikuwa imeoza, hawa wakina malesela leo wako wengi/ Kwani Anna kilango ni nani? mbona healines zote ni yeye na wanaoomtetea, alishindwa kumwajibisha pinda akamtetetea kashfa ya ESCOW hivyo wananchi waliacha kumwamini wakamtema, akaja uwanjani akasema uongo katemwa piaHayo Mapungufu ya JPM ndio zilikuwa Strength za Jakaya akaitwa Dhaifu na Strength za JPM ndio yalikuwa Mapungufu ya JK akaitwa Tingatinga, Acha tupate ladha tofauti!
Akija kuwatembeleeni hataki kusikia OC au Mafungu hayatoshi kwenye Risala mtazokuwa mnamsomea otherwise mtatumbuliwa!
Sio rahisi kuyamudu hayo mapungufu coz ni tabia zake.Kumbuka tabia haina dawa,pamoja na yote lakin tukumbuke ashampongeza Paul Makonda.Bila kupepesa macho na kumung'unya maneno, Rais Magufuli ana Uwezo (Strength) na Mapungufu yafuatayo:-
Uwezo wake:-