mwendapole12
Member
- Apr 2, 2022
- 21
- 26
Hiyo elimu ya chini ya mwembe hamna kitu kama hichoMay be alikaa muda mrefu , wanasema.akijifungua wa kwanza asikae sana asubiri mwaka.mmoja au miwili ajifungue mwingine
They said ukikaa sana kinafunga au unapata usumbufu kama huo ila usichoke wewe endeleeni kutafuta tu
waendelee kufanya tu zile siku zenyewe.. itanasa..May be alikaa muda mrefu , wanasema.akijifungua wa kwanza asikae sana asubiri mwaka.mmoja au miwili ajifungue mwingine
They said ukikaa sana kinafunga au unapata usumbufu kama huo ila usichoke wewe endeleeni kutafuta tu
toa msaada mkuu, kaja humu kushare experienceHiyo elimu ya chini ya mwembe hamna kitu kama hicho
Nini kinajifunga kidirisha??
Kuna factor nyingi zinasababisha
Consultation fee inahitajika kwanza haya mambo ya kitaalamu watu tumesomea miaka mitano darasan
Hakuna vya buree mkuu nimelipa ada kusoma hivo vitutoa msaada mkuu, kaja humu kushare experience
Habari!Habari yako wewe unayesoma uzi huu.
Nina umri wa miaka 27 pia nimejaaliwa kupata mtoto mmoja tu wa kike na kwa sasa ana miaka 4 ila sijabahatika kupata mtoto mwingine nimejitahidi sana kufanya vipimo kiafya nipo vizuri maana nimefanya checkup zote, sperm analysis, semen na vingine ila nimejikuta blood group yangu ni AB+ na mke wangu pia wote tunafananisha blood group kwahiyo nikawa nimewahi kuambiawa kuwa nayo ni factor moja wapo ya kukosa mtoto.
Je, ni dawa gani inayofanya kutatua tatizo kama hili iwapo tutafananisha blood group ili tuweze kupata mtoto mwingine?
Basi kausha, wanao toa mchango sio waja ku crushHakuna vya buree mkuu nimelipa ada kusoma hivo vitu
Mi sina shida na mtuBasi kausha, wanao toa mchango sio waja ku crush
Poa mkuu. Taaluma lazima ziheshimikeMi sina shida na mtu
Akinipa consultation fee na mwaga materials
je yeye huyo mke yuko willing kupata???Habari yako wewe unayesoma uzi huu.
Nina umri wa miaka 27 pia nimejaaliwa kupata mtoto mmoja tu wa kike na kwa sasa ana miaka 4 ila sijabahatika kupata mtoto mwingine nimejitahidi sana kufanya vipimo kiafya nipo vizuri maana nimefanya checkup zote, sperm analysis, semen na vingine ila nimejikuta blood group yangu ni AB+ na mke wangu pia wote tunafananisha blood group kwahiyo nikawa nimewahi kuambiawa kuwa nayo ni factor moja wapo ya kukosa mtoto.
Je, ni dawa gani inayofanya kutatua tatizo kama hili iwapo tutafananisha blood group ili tuweze kupata mtoto mwingine?
hakuna cha material wew ni muhuni tu.Mi sina shida na mtu
Akinipa consultation fee na mwaga materials
Kabsaaa mkuuPoa mkuu. Taaluma lazima ziheshimike
Sawahakuna cha material wew ni muhuni tu.