PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
Naweza kufa kabla ata sijamuona huyo mtotoHongera baba mtarajiwa
Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
Ni chuo mkuu.."Mtoto wa kiongozi wa serikalini tena chama cha upinzani"
........Anasoma kidato cha ngapi?
Tarehe 6 ipi mkuu.. Tulifanya ngono ijuma iliyopitaKwanini mliamua kutumia dawa?
Hapo danger yake kwa uelewa wangu iliisha tar 06/Au 7 ko Hamna uwezekano wa kupata mimba labda kama hizo dawa anazotumia ziwe zimebadilisha mzunguko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok naomba kuuliza , hivi vile vidonge vya uzazi wa mpango vinafanya kazi baada ya muda gani..?
Naomba msinielewe vibaya, nimetembea na binti mtoto wa kiongozi wa serekalini tena chama cha upinzani.. Sasa nilimsihi akanunue vidonge, yeye alienda kununua vile vidonge vipo 21 alafu vingine saba vipo tofauti, na alianza kutumia siku moja kabla hatujafanya ule uchafu na mpaka leo anatumia ( ngono tulifanya ijumaa iliyopita)
Sasa mwezi uliopita aliingia period tarehe 18 .. Na mwezi huu leo tarehe 20 hajaona siku zake.... pia amebadilisha mkoa..
Wakuu nimechanganyikiwa naomba kama kuna doctor nisaidieni kumtag nijue kama kuna uwezekano wa kuto kupata mimba
Nipo tayari kujibu swali lolote, hii nchi naiona chungu
Kwaiyo hapo imeingia? Na alianza kumeza siku moja kabla?Pole vidonge vya majira huwa vinakuwa na homoni maalum ...kwa ajil ya kuzuia utungisho kwa mwanamke....
Anapomeza huwa vinaanza kufanya kazi kwa ufanisi masaa 72
Angemeza p2 baada ya sex mimba isingeingia
Sent using Jamii Forums mobile app