Uwepo wa maji vijijini Kenya na kutumika kwa teknolojia kisasa!! Kilifi Pwani ya Kenya

waltham

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,522
1,045
Goverver kingi wa kilifi county

I officially launched the Mbudzi-Mayowe-Chivara (Mbumachi) e-water project funded by the Kenya Red Cross Society in Jaribuni, Ganze Sub-county. The project operates using tokens and is expected to greatly help over 15, 000 people in Jaribuni and will help address the perennial water problem at a cheaper rate.









Hapa ni uwe makini au maji yako yote itamwagika pembeni ibidi utap card tena!!!!


MIMI NA TANZANIA-TATIZO LA MAJI MIGOLI IRINGA
 
Mbona hiyo technology ya kutumia token hapa iringa ni ya kitambo sana
 
kwa hivyo tugure tuje iriga!!!!! mbona ata mtoto wa chekechea ataandika hivyo tu bila kuweka ushahidi kama ulivyoandika wewe!!
Yaani wewe vitu vidogo kama hivyo navyo unahitaji ushahidi? !! Hiyo pay as you go system sisi ndo inatumika kwa kila nyumba na hatukuwahi kuifanya habari kwasababu ni vitu vidogo hivyo
 
Wa kwetu kazi yake kukaa kwenye mitandao kusoma post na comment za watu wanaomkosoa alf wanapotea kimiujiza ujiza lkn ipo siku itajulikana tu.
 
Yaani wewe vitu vidogo kama hivyo navyo unahitaji ushahidi? !! Hiyo pay as you go system sisi ndo inatumika kwa kila nyumba na hatukuwahi kuifanya habari kwasababu ni vitu vidogo hivyo

Mtanzania mpe ligi atatoa povu kucha mzima Na mambo madogo!!! Bwana kateke maj i yako iringa!!!!
 
Mbona hiyo technology ya kutumia token hapa iringa ni ya kitambo sana

MIMI NA TANZANIA-TATIZO LA MAJI MIGOLI IRINGA, tanzania


utumiaji wa maji na technologia iringa kweli safi!!!

kweli dunia siku hizi ni kijiji kimoja!!!!!
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
 
Upatikanaji wa maji ndiyo jambo la msingi. Kutumia token au kadi kwa ajili ya kudhibiti matumizi ni ziada tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…