DYLM future billionaire
Member
- Dec 28, 2015
- 70
- 150
Nina amini kuna watu wana pesa zao nzuri tu...tena nyingi ziko benk,ziko majumbani na sehemu mbalimbali za kutunzia pesa.
Mimi future billionaire nafanya biashara zangu binafsi kwa miaka mitano sasa hivi.Wafanyakazi wezangu na wasio wafanyakazi wana niunga mkono kwa kuwekeza pesa zao kwenye biashara zangu ninazofanya.
Wao wanawekeza pesa zao kuanzia millioni moja na zaidi.Mimi nawapa faida ya 7% kila mwezi,nawapa kwa awamu ya miezi mitatu mitatu.yaan baada ya miezi mitatu nawapa faida 21% na mwisho kabisa kutegemea na muda alioweka mfano miezi sita, tisa au miezi 12, anapewa faida pamoja na pesa aliyowekeza kwangu.
Uhakika nimeona watu kumbe wana pesa zao vizuri sema wanaogopa kuingia kwenye biashara na ujasiriamali kwa hofu ya kupoteza pesa pale biashara itakapokuwa ngumu,au kufilisika,maana biashara au hakika inahitaji msukumo fulani wa ndani wa mhusika.
Kwa hiyo nakaribisha sasa wawekezaji wakubwa kutoka sehemu mbalimbali Tanzania.nifanye nao kazi.taratibu zote za mikataba na makubaliano zipo wazi,hata kama una mwanasheria wako wewe njoo nae tuweke tukubaliane kisheria zaidi.
Naamini kufanikiwa tu ,sijawahi kuwaza kushindwa,ikitokea hasara wewe haikuhusu na wala huna haja ya kufahamu biashara ninayoifanya,ingawa ukitaka kuijua unaijua,wewe ni kusubiri faida tu.
Hapa inatakiwa uwe na roho ya biashara na ujasirimali sio yale mawazo hasa,sijui je nitakuaminije,sijui tapeli,sijui ni risk n.k wakati uhakika kabisa mtu mwenye nia ya kuwekeza kama akimua kutaka kujiridhisha tutapanga namna ya kuonana atakuja Arusha ndo ninakoishi na kufanya kazi,ataona mahali ninapofanyia kazi,na ataamua yeye kama kweli anataka kuwekeza.